Luka 22:45
Baada ya kusali, aliwarudia wanafunzi wake, akawakuta wamelala, kwani walikuwa na huzuni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when he rose up from prayer, and was come to his disciples, he found them sleeping for sorrow,
In Context
46Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.”
Cross References
Matthew 26:43Akawaendea tena, akawakuta wamelala, maana macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi.
Mark 14:40Kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. Macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Hawakujua la kumjibu.