Luka 22:48
Lakini Yesu akamwambia, “Yuda! Je, unamsaliti Mwana wa Mtu kwa kumbusu?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But Jesus said unto him, Judas, betrayest thou the Son of man with a kiss?
In Context
49Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”
Cross References
Mark 14:44Msaliti Yuda alikuwa amewapa ishara: “Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni, mkampeleke chini ya ulinzi.”