Luka 23:1
Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the whole multitude of them arose, and led him unto Pilate.
In Context
Cross References
Matthew 27:11Yesu alisimamishwa mbele ya mkuu wa mkoa. Basi, mkuu wa mkoa akamwuliza, “Je, wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akamwambia, “Wewe umesema.”
Luke 22:66Kulipokucha, kikao cha wazee wa watu kilifanyika, ambacho kilihudhuriwa na makuhani wakuu na walimu wa Sheria. Yesu akaletwa mbele ya Baraza hilo.