Luka 23:17
Kila sikukuu ya Pasaka, ilimlazimu Pilato kuwafungulia mfungwa mmoja.
Biblia Takatifu
In The King James Version
(For of necessity he must release one unto them at the feast.)
In Context
16Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.”
18Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!”
Cross References
Mark 15:6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka.