Luka 23:19
(Baraba alikuwa ametiwa ndani kwa kusababisha uasi katika mji na pia kwa sababu ya kuua.)
Biblia Takatifu
In The King James Version
(Who for a certain sedition made in the city, and for murder, was cast into prison.)
In Context
18Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!”
20Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena;
Cross References
Luke 23:5Lakini wao wakasisitiza wakisema: “Anawachochea watu kwa mafundisho yake katika nchi yote ya Yudea; alianza Galilaya, na sasa yuko hapa.”