Luka 23:30
Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: Tuangukieni! na vilima, Tufunikeni!
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then shall they begin to say to the mountains, Fall on us; and to the hills, Cover us.
In Context
31Kwa maana, kama watu wanautendea mti mbichi namna hiyo, itakuwaje kwa mti mkavu?”
Cross References
Revelation 9:6Muda huo watu watatafuta kifo lakini hawatakipata; watatamani kufa lakini kifo kitawakimbia.