Luka 23:49
Marafiki zake wote pamoja na wale wanawake walioandamana naye kutoka Galilaya, walisimama kwa mbali kutazama tukio hilo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 27:61Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi.
Mark 15:47Nao Maria Magdalene na Maria mama yake Yose walipaona hapo alipolazwa.
Luke 23:27Watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia.
John 19:21Basi, makuhani wakuu wakamwambia Pilato, “Usiandike: Mfalme wa Wayahudi, ila Yeye alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi.”