Luka 23:51
Alikuwa akitazamia kuja kwa Ufalme wa Mungu. Ingawa alikuwa mmoja wa Baraza kuu la Wayahudi, hakuwa amekubaliana nao katika kitendo chao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
52Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Cross References
Luke 2:25Wakati huo huko Yerusalemu kulikuwa na mtu mmoja, mwema na mcha Mungu, jina lake Simeoni. Yeye alikuwa akitazamia kwa hamu ukombozi wa Israeli. Roho Mtakatifu alikuwa pamoja naye.
Luke 23:42Kisha akasema, “Ee Yesu! Unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako.”