Luka 24:37
Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But they were terrified and affrighted, and supposed that they had seen a spirit.
In Context
38Lakini yeye akawaambia, “Kwa nini mnafadhaika? Mbona mnakuwa na mashaka mioyoni mwenu?
Cross References
Matthew 14:26Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliingiwa na hofu, wakasema, “Ni mzimu!” Wakapiga kelele kwa hofu.
Luke 16:30Lakini yeye akasema: Sivyo baba Abrahamu, ila kama mtu atafufuka kutoka wafu na kuwaendea, watatubu.