Mathayo 14:26
Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliingiwa na hofu, wakasema, “Ni mzimu!” Wakapiga kelele kwa hofu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
25Usiku, karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea wanafunzi akitembea juu ya maji.
27Mara, Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!”
Cross References
Mark 6:49Lakini walimwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu, wakapiga yowe.
Luke 24:5Hao wanawake wakaingiwa na hofu, wakainama chini. Ndipo wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai kati ya wafu?
Luke 24:45Kisha, akaziangazia akili zao ili wapate kuelewa Maandiko Matakatifu.
Revelation 1:17Basi, nilipomwona tu, nilianguka mbele ya miguu yake kama maiti. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akasema, “Usiogope! Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.