Luka 3:12
Nao watoza ushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then came also publicans to be baptized, and said unto him, Master, what shall we do?
In Context
11Akawajibu, “Aliye na nguo mbili amgawie yule asiye na nguo; aliye na chakula afanye vivyo hivyo.”
13Naye akawaambia, “Msitoze ushuru zaidi ya kima kilichowekwa.”
Cross References
Matthew 21:31Je, ni nani kati ya hawa wawili aliyetimiza matakwa ya baba yake?” Wakamjibu, “Yule mtoto wa kwanza.” Basi, Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, watoza ushuru na waasherati wataingia katika Ufalme wa Mungu kabla yenu.
Luke 15:1Siku moja, watoza ushuru na wahalifu wengi walikwenda kumsikiliza Yesu.