Luka 3:13
Naye akawaambia, “Msitoze ushuru zaidi ya kima kilichowekwa.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he said unto them, Exact no more than that which is appointed you.
In Context
12Nao watoza ushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”
Cross References
Luke 19:8Lakini Zakayo akasimama akamwambia Yesu, “Sikiliza Bwana! Mimi nitawapa maskini nusu ya mali yangu, na kama nimenyang'anya mtu yeyote kitu, nitamrudishia mara nne.”
Ephesians 4:28Aliyekuwa akiiba, asiibe tena, bali na aanze kufanya kazi njema kwa mikono yake, apate kuwa na kitu cha kumsaidia mtu aliye maskini.