Luka 4:12
Lakini Yesu akamjibu, “Imeandikwa: Usimjaribu Bwana Mungu wako.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus answering said unto him, It is said, Thou shalt not tempt the Lord thy God.
In Context
11na tena, Watakuchukua mikononi mwao usije ukajikwaa mguu wako kwenye jiwe.”
13Ibilisi alipokwishamjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.
Cross References
Matthew 4:7Yesu akamwambia, “Imeandikwa pia: Usimjaribu Bwana, Mungu wako.”
Hebrews 3:8msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu; kama walivyokuwa siku ile kule jangwani,