Luka 4:37
Habari zake zikaenea mahali pote katika mkoa ule.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the fame of him went out into every place of the country round about.
In Context
Cross References
Matthew 4:23Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri Habari Njema juu ya ufalme wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.
Mark 1:28Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika wilaya ya Galilaya.
Mark 6:14Basi, mfalme Herode alisikia juu ya hayo yote, maana sifa za Yesu zilienea kila mahali. Baadhi ya watu walikuwa wakisema, “Yohane Mbatizaji amefufuka kutoka wafu, ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake.”