Luka 4:8
Yesu akamjibu, “Imeandikwa: Utamwabudu Bwana Mungu wako, na utamtumikia yeye peke yake.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.”
Cross References
Matthew 16:23Lakini Yesu akageuka, akamwambia Petro, “Ondoka mbele yangu Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya mungu bali ni ya kibinadamu!”
James 4:7Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni.
Revelation 19:10Basi, mimi nikaanguka kifudifudi mbele ya miguu yake nikataka kumwabudu. Lakini yeye akaniambia, “Acha! Mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako; sote tunauzingatia ukweli ule alioufunua Yesu. Mwabudu Mungu! Maana ukweli alioufunua Yesu ndio unaowaangazia manabii.”