bible.software › Luka › Luka 6 › Luka 6:36
Luka 6:36
Muwe na huruma kama Baba yenu alivyo na huruma.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Be ye therefore merciful, as your Father also is merciful.
In Context
35Ila nyinyi wapendeni adui zenu, na kuwatendea mema; kopesheni bila kutazamia malipo, na tuzo lenu litakuwa kubwa, nanyi mtakuwa watoto wa Mungu aliye juu. Kwa maana yeye ni mwema kwa wale wasio na shukrani na walio wabaya.
37“Msiwahukumu wengine, nanyi hamtahukumiwa; msiwalaumu wengine, nanyi hamtalaumiwa; wasameheni wengine, nanyi mtasamehewa.
Read all of Luka 6
Cross References
Ephesians 4:31Basi, achaneni na uhasama, chuki, hasira, kelele, matusi! Achaneni na kila uovu!
1 Peter 1:15Bali mnapaswa kuwa watakatifu katika mwenendo wenu wote, kama vile yule aliyewaiteni ni mtakatifu.
This Verse In Other Editions
Study Luka 6:36