Luka 6:37
“Msiwahukumu wengine, nanyi hamtahukumiwa; msiwalaumu wengine, nanyi hamtalaumiwa; wasameheni wengine, nanyi mtasamehewa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
36Muwe na huruma kama Baba yenu alivyo na huruma.
Cross References
Matthew 5:7Heri walio na huruma, maana watahurumiwa.
Matthew 7:1“Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu;
Matthew 18:34“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
Luke 17:3Jihadharini! Kama ndugu yako akikukosea, mwonye; akitubu, msamehe.
Romans 14:3Mtu ambaye hula kila kitu asimdharau yule ambaye hawezi kula kila kitu; naye ambaye hula tu mboga za majani asimhukumu anayekula kila kitu, maana Mungu amemkubali.
1 Corinthians 4:3Kwangu mimi si kitu nikihukumiwa na ninyi, au na mahakama ya kibinadamu; wala sijihukumu.