bible.software › Luka › Luka 8 › Luka 8:17
Luka 8:17
“Chochote kilichofichwa kitafichuliwa na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana hadharani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For nothing is secret, that shall not be made manifest; neither any thing hid, that shall not be known and come abroad.
In Context
16“Watu hawawashi taa na kuifunika kwa chombo au kuiweka mvunguni. Lakini huiweka juu ya kinara ili watu wanapoingia ndani wapate kuona mwanga.
18“Kwa hiyo, jihadharini jinsi mnavyosikia; maana aliye na kitu ataongezewa, lakini yule asiye na kitu, hata kile anachodhani kuwa anacho, kitachukuliwa.”
Read all of Luka 8
Cross References
Matthew 10:26“Basi, msiwaogope watu hao. Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, na kila kilichofichwa kitafichuliwa.
Luke 12:2Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.
This Verse In Other Editions
Study Luka 8:17