Luka 8:19
Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then came to him his mother and his brethren, and could not come at him for the press.
In Context
20Yesu akapewa habari kwamba mama na ndugu zake walikuwa nje, wanataka kumwona.
Cross References
Mark 3:21Basi, watu wa jamaa yake walipopata habari hiyo wakatoka kwenda kumchukua maana walikuwa wanasema kwamba amepatwa na wazimu.