Luka 8:9
Wanafunzi wake wakamwuliza Yesu maana ya mfano huo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And his disciples asked him, saying, What might this parable be?
In Context
Cross References
Matthew 13:18“Basi, ninyi sikilizeni maana ya mfano huo wa mpanzi.
Matthew 15:15Petro akadakia, “Tufafanulie huo mfano.”
Mark 4:34Hakuongea nao chochote bila kutumia mifano; lakini alipokuwa pamoja na wanafunzi wake peke yao alikuwa akiwafafanulia kila kitu.
John 15:15Ninyi siwaiti tena watumishi, maana mtumishi hajui anachofanya bwana wake. Lakini mimi nimewaita ninyi rafiki, kwa sababu nimewajulisha yote ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba yangu.