Luka 9:35
Sauti ikasikika kutoka katika hilo wingu: “Huyu ndiye Mwanangu niliyemchagua, msikilizeni.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And there came a voice out of the cloud, saying, This is my beloved Son: hear him.
In Context
Cross References
Luke 3:22na Roho Mtakatifu akamshukia akiwa na umbo kama la njiwa. Sauti ikasikika kutoka mbinguni: “Wewe ndiwe Mwanangu mpendwa, nimependezwa nawe.”
John 3:35Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.
Acts 3:22Kwa maana Mose alisema, Bwana Mungu wenu atawapelekeeni nabii kama mimi kutoka kati yenu ninyi wenyewe.
Hebrews 3:7Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti ya Mungu leo,