Marko 10:16
Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he took them up in his arms, put his hands upon them, and blessed them.
In Context
Cross References
Luke 2:28Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu na kusema:
John 21:15Walipokwisha kula, Yesu alimwuliza Simoni Petro, “Simoni, mwana wa Yohane! Je, wanipenda mimi zaidi kuliko hawa?” Naye akajibu, “Naam, Bwana; wajua kwamba mimi nakupenda.” Yesu akamwambia, “Tunza wana kondoo wangu.”