Marko 10:5
Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia amri hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus answered and said unto them, For the hardness of your heart he wrote you this precept.
In Context
4Nao wakasema, “Mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”
6Lakini tangu kuumbwa ulimwengu, Mungu aliumba mwanamume na mwanamke.
Cross References
Matthew 19:8Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Hebrews 3:7Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti ya Mungu leo,