Mathayo 19:8
Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7Lakini wao wakamwuliza, “Kwa nini basi, Mose alituagiza mwanamke apewe hati ya talaka na kuachwa?”
Cross References
Matthew 8:31Basi, hao pepo wakamsihi, “Ikiwa utatutoa, basi uturuhusu tuwaingie nguruwe wale.”
1 Corinthians 7:6Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.