bible.software › Marko › Marko 12 › Marko 12:2
Marko 12:2
Wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And at the season he sent to the husbandmen a servant, that he might receive from the husbandmen of the fruit of the vineyard.
In Context
1Yesu alianza kusema nao kwa mifano: “Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu. Akalizungushia ukuta, na katikati yake akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga mnara pia. Akalikodisha shamba hilo kwa wakulima, akasafiri hadi nchi ya mbali.
3Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.
Read all of Marko 12
Cross References
Matthew 21:34Wakati wa mavuno ulipofika, aliwatuma watumishi wake kwa wale wakulima, ili wakachukue sehemu ya mavuno yake.
This Verse In Other Editions
Study Marko 12:2