bible.software › Mathayo › Mathayo 21 › Mathayo 21:34
Mathayo 21:34
Wakati wa mavuno ulipofika, aliwatuma watumishi wake kwa wale wakulima, ili wakachukue sehemu ya mavuno yake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when the time of the fruit drew near, he sent his servants to the husbandmen, that they might receive the fruits of it.
In Context
33Yesu akasema, “Sikilizeni mfano mwingine. Mtu mmoja mwenye nyumba alilima shamba la mizabibu; akalizungushia ukuta, akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga humo mnara pia. Kisha akalikodisha kwa wakulima, akasafiri kwenda nchi ya mbali.
35Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamwua na mwingine wakampiga mawe.
Read all of Mathayo 21
Cross References
Mark 12:2Wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 21:34