Marko 13:22
Maana watatokea kina Kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa Mungu, kama ikiwezekana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
21“Basi mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa! au Yupo pale! msimsadiki.
23Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Cross References
Matthew 7:15“Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali.
Mark 13:6Maana wengi watakuja wakilitumia jina langu, wakisema, Mimi ndiye! nao watawapotosha watu wengi.
John 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, nao hunifuata.
2 Timothy 2:19Lakini msingi thabiti uliowekwa na Mungu uko imara, na juu yake yameandikwa maneno haya: “Bwana anawafahamu wale walio wake,” na “Kila asemaye yeye ni wa Bwana, ni lazima aachane na uovu.”
1 John 2:26Nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha ninyi.
Revelation 13:13Basi, huyu mnyama wa pili akafanya miujiza mikubwa hata akasababisha moto kutoka mbinguni ushuke duniani mbele ya watu.