Marko 13:37
Ninayowaambieni ninyi, nawaambia wote: Kesheni!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And what I say unto you I say unto all, Watch.
In Context
36Kesheni ili akija ghafla asije akawakuta mmelala.
Cross References
Mark 13:33Muwe waangalifu na kesheni, maana hamjui wakati huo utafika lini.
Luke 12:41Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”