Marko 13:33
Muwe waangalifu na kesheni, maana hamjui wakati huo utafika lini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Take ye heed, watch and pray: for ye know not when the time is.
In Context
Cross References
Matthew 24:42Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Matthew 26:40Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndiyo kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Mark 13:35Kesheni, basi, kwa maana hamjui mwenye nyumba atarudi lini; huenda ikawa jioni, usiku wa manane, alfajiri au asubuhi.
Luke 12:40Nanyi, kadhalika muwe tayari, maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.”
Romans 13:11Zaidi ya hayo, ninyi mnajua tumo katika wakati gani: sasa ndio wakati wa kuamka usingizini; naam, wokovu wetu u karibu zaidi sasa kuliko wakati ule tulipoanza kuamini.
1 Corinthians 16:13Kesheni, simameni imara katika imani, muwe hodari na wenye nguvu.