Marko 15:10
Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For he knew that the chief priests had delivered him for envy.
In Context
9Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”
11Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.
Cross References
Matthew 27:18Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Titus 3:3Maana, wakati mmoja sisi tulikuwa wapumbavu, wakaidi na wapotovu. Tulikuwa watumwa wa tamaa na anasa za kila aina. Tuliishi maisha ya uovu na wivu; watu walituchukia nasi tukawachukia.
James 4:5Msifikiri kwamba Maandiko Matakatifu yamesema maneno ya bure, yanaposema: “Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa.”