Mathayo 27:18
Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For he knew that for envy they had delivered him.
In Context
Cross References
Mark 15:10Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
Acts 7:9“Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamuuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,
James 4:5Msifikiri kwamba Maandiko Matakatifu yamesema maneno ya bure, yanaposema: “Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa.”