Marko 15:26
Na mshtaka wake ulikuwa umeandikwa: “Mfalme wa Wayahudi.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the superscription of his accusation was written over, THE KING OF THE JEWS.
In Context
25Ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha.
Cross References
Matthew 27:37Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lilioandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”
Luke 23:37wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”