Marko 15:27
Pamoja naye waliwasulubisha wanyang'anyi wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And with him they crucify two thieves; the one on his right hand, and the other on his left.
In Context
26Na mshtaka wake ulikuwa umeandikwa: “Mfalme wa Wayahudi.”
28Hapo yakatimia Maandiko Matakatifu yanayosema, “Aliwekwa kundi moja na waovu.”
Cross References
Matthew 27:38Wanyang'anyi wawili walisulubishwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.
John 19:18Hapo ndipo walipomsulubisha, na pamoja naye waliwasulubisha watu wengine wawili; mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto, naye Yesu katikati.