Marko 15:38
Basi, pazia la Hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the veil of the temple was rent in twain from the top to the bottom.
In Context
37Yesu akapaaza sauti kubwa, akakata roho.
Cross References
Luke 23:45na pazia lililokuwa limetundikwa Hekaluni likapasuka vipande viwili.
Hebrews 6:19Tunalo tumaini hilo kama nanga ya maisha yetu. Tumaini hilo ni imara na thabiti, nalo lapenya lile pazia la hekalu la mbinguni mpaka patakatifu ndani.
Hebrews 10:19Basi, ndugu, kwa damu ya Yesu tunapewa moyo thabiti wa kuingia Mahali Patakatifu.