Luka 23:45
na pazia lililokuwa limetundikwa Hekaluni likapasuka vipande viwili.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the sun was darkened, and the veil of the temple was rent in the midst.
In Context
44Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likafunika nchi yote mpaka saa tisa,
Cross References
Mark 15:38Basi, pazia la Hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini.
Hebrews 6:19Tunalo tumaini hilo kama nanga ya maisha yetu. Tumaini hilo ni imara na thabiti, nalo lapenya lile pazia la hekalu la mbinguni mpaka patakatifu ndani.
Hebrews 10:19Basi, ndugu, kwa damu ya Yesu tunapewa moyo thabiti wa kuingia Mahali Patakatifu.