Marko 15:4
Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
3Makuhani wakuu wakamshtaki Yesu mambo mengi.
5Lakini Yesu hakujibu neno, hata pilato akashangaa.
Cross References
Matthew 27:13Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?”