Mathayo 27:13
Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then said Pilate unto him, Hearest thou not how many things they witness against thee?
In Context
12Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa wanamshtaki, hakujibu neno.
14Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana.
Cross References
John 18:35Pilato akamjibu, “Je, ni Myahudi mimi? Taifa lako na makuhani wamekuleta kwangu. Umefanya nini?”