Marko 3:12
Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he straitly charged them that they should not make him known.
In Context
13Yesu alipanda kilimani, akawaita wale aliowataka. Basi, wakamwendea,
Cross References
Matthew 12:16akawaamuru wasiwaambie watu habari zake,
Mark 1:34Naye Yesu akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali; aliwafukuza pepo wengi, lakini hakuwaruhusu kusema kitu maana walikuwa wanamjua yeye ni nani.