Marko 3:13
Yesu alipanda kilimani, akawaita wale aliowataka. Basi, wakamwendea,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he goeth up into a mountain, and calleth unto him whom he would: and they came unto him.
In Context
12Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
14naye akawateua watu kumi na wawili ambao aliwaita mitume, wakae naye, awatume kuhubiri
Cross References
Matthew 5:1Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea,
Mark 6:7Aliwaita wale wanafunzi kumi na wawili, akaanza kuwatuma wawiliwawili. Aliwapa uwezo wa kuwatoa pepo wachafu,
Luke 9:1Yesu aliwaita wale kumi na wawili, akawapa uwezo juu ya pepo wote, na uwezo wa kuponya wagonjwa.