Marko 3:23
Hapo Yesu akawaita, akawaambia kwa mifano, “Shetani anawezaje kumfukuza Shetani?
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he called them unto him, and said unto them in parables, How can Satan cast out Satan?
In Context
24Ikiwa utawala mmoja umegawanyika makundimakundi yanayopigana, utawala huo hauwezi kudumu.
Cross References
Matthew 12:25Yesu, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, “Ufalme wowote uliogawanyika makundimakundi yanayopingana, hauwezi kudumu, na mji wowote au jamaa yoyote iliyogawanyika makundimakundi yanayopingana, itaanguka.
Mark 4:2Aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia,