Marko 4:2
Aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia,
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he taught them many things by parables, and said unto them in his doctrine,
In Context
3“Sikilizeni! Mpanzi alikwenda kupanda mbegu.
Cross References
Matthew 13:3naye Yesu akawaambia mambo mengi kwa mifano. “Sikilizeni! Mpanzi alikwenda kupanda mbegu.
Matthew 13:34Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,
Mark 4:11Naye akawaambia, “Ninyi mmejaliwa kujua siri ya Utawala wa Mungu, lakini wale walio nje wataambiwa kila kitu kwa mifano,
Mark 12:38Katika mafundisho yake, Yesu alisema, “Jihadharini na walimu wa Sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,
John 18:19Basi, Kuhani akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.