Marko 3:29
lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
28“Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote;
30(Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”)
Cross References
Matthew 12:31Kwa sababu hiyo, nawaambieni, watu watasamehewa dhambi na kufuru zao zote, lakini hawatasamehewa dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu.
Mark 12:40Huwanyonya wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu. Siku ya hukumu watapata adhabu kali!”
2 Thessalonians 1:9Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu,
Jude 1:13Watu hao ni kama mawimbi makali ya bahari, na matendo yao ya aibu yanaonekana dhahiri kama vile mapovu ya mawimbi. Wao ni kama nyota zinazotangatanga, ambao Mungu amewawekea mahali pao milele katika giza kuu.