Marko 3:30
(Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”)
Biblia Takatifu
In The King James Version
Because they said, He hath an unclean spirit.
In Context
29lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele.”
31Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kutaka kumwona.
Cross References
John 10:20Wengi wao wakasema, “Ana pepo; tena ni mwendawazimu! Ya nini kumsikiliza?”