Marko 4:10
Yesu alipokuwa peke yake, baadhi ya wale waliomsikia walimwendea pamoja na wale kumi na wawili, wakamwuliza juu ya hiyo mifano.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when he was alone, they that were about him with the twelve asked of him the parable.
In Context
9Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!”
Cross References
Matthew 13:10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”
Mark 4:34Hakuongea nao chochote bila kutumia mifano; lakini alipokuwa pamoja na wanafunzi wake peke yao alikuwa akiwafafanulia kila kitu.
Luke 8:9Wanafunzi wake wakamwuliza Yesu maana ya mfano huo.