Marko 4:22
Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Luke 8:17“Chochote kilichofichwa kitafichuliwa na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana hadharani.
Acts 4:20Kwa maana hatuwezi kuacha kusema juu ya mambo yale tuliyoyaona na kuyasikia.”
1 Corinthians 4:5Basi, msihukumu kabla ya wakati wake acheni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika, na kuonyesha wazi nia za mioyo ya watu. Ndipo kila mmoja atapata sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.