Marko 5:1
Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ng'ambo ya ziwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they came over unto the other side of the sea, into the country of the Gadarenes.
In Context
Cross References
Matthew 8:28Yesu alifika katika nchi ya Wagerasi, ng'ambo ya ziwa, na huko watu wawili waliopagawa na pepo wakakutana naye wakitokea makaburini. Watu hawa walikuwa wenye kutisha mno, hata hakuna mtu aliyethubutu kupita katika njia hiyo.
Luke 8:26Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ng'ambo ya ziwa.