The Bible Software
bible.software › Marko › Marko 5 › Marko 5:2

Marko 5:2

Mara tu Yesu aliposhuka mashuani, mtu mmoja aliyepagawa na pepo mchafu alitoka makaburini, akakutana naye.

Biblia Takatifu

In The King James Version

And when he was come out of the ship, immediately there met him out of the tombs a man with an unclean spirit,

In Context

1Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ng'ambo ya ziwa.

3Mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo.

Read all of Marko 5

Cross References

Mark 1:23Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,

Mark 3:30(Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”)

Mark 5:8(Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”)

Luke 8:27Alipokuwa anashuka pwani, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo alimjia kutoka mjini. Kwa muda mrefu mtu huyo, hakuwa anavaa nguo, wala hakuwa anaishi nyumbani bali makaburini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Marko 5:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Marko 5:1Marko 5Marko 5:3 →