Marko 5:10
Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he besought him much that he would not send them away out of the country.
In Context
9Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni Jeshi, maana sisi tu wengi.”
11Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
Cross References
Mark 5:13Naye akawaruhusu. Basi, hao pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe. Kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likaporomoka kwenye ule mteremko mkali mpaka ziwani, likatumbukia majini.