Marko 5:11
Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now there was there nigh unto the mountains a great herd of swine feeding.
In Context
10Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile.
12Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”
Cross References
Luke 8:32Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha mlimani. Basi, hao pepo wakamsihi awaruhusu wawaingie. Naye Yesu akawapa ruhusa.