bible.software › Marko › Marko 5 › Marko 5:21
Marko 5:21
Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when Jesus was passed over again by ship unto the other side, much people gathered unto him: and he was nigh unto the sea.
In Context
20Basi, huyo mtu akaenda, akaanza kutangaza huko Dekapoli mambo yote Yesu aliyomtendea; watu wote wakashangaa.
22Hapo akaja mmojawapo wa maofisa wa sunagogi, jina lake Yairo. Alipomwona Yesu, akajitupa mbele ya miguu yake,
Read all of Marko 5
Cross References
Matthew 9:1Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake.
Luke 8:40Yesu aliporudi upande mwingine wa ziwa, kundi la watu lilimkaribisha, kwa maana wote walikuwa wanamngojea.
This Verse In Other Editions
Study Marko 5:21